Mkoa wa Tabora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 39:
}}
 
'''Tabora''' ni [[jina]] la [[mji]], [[wilaya]] na [[mkoa]] wa [[Tanzania]] ya kati. '''Mkoa wa Tabora''' ni kati ya [[Mikoa ya Tanzania|mikoa 31 ya Tanzania]] wenye [[postikodi]] [[namba]] '''45000''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tabora.pdf</ref>. [[Makao makuu]] yako [[Tabora (mji)|Tabora Mjini]].
 
'''Mkoa wa Tabora''' ni kati ya [[Mikoa ya Tanzania|mikoa 31 ya Tanzania]].
 
[[Makao makuu]] yako [[Tabora (mji)|Tabora Mjini]].
 
Eneo la mkoa ni [[Km²|km<sup>2</sup>]] 76,151; mnamo km<sup>2</sup> 34,698 (46[[%]]) ni [[hifadhi ya misitu]], km<sup>2</sup> 17,122 (22%) ni [[hifadhi ya wanyama]].