Wilaya ya Ilala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{coord|6.824|S|39.249|E|display=title|source:eswiki}}
[[File:Dar es Salaam before dusk.jpg|thumb|[[Mandhari]] ya sehemu ya Ilala.]]
[[File:Dar es Salaam Tanzania Samora Avenue around Daily News office.JPG|thumb|250px|Mtaa wa Samora ni kati ya [[barabara]] kuu za kitovu cha jiji.]]
'''Wilaya ya Ilala''' ni [[wilaya]] mojawapo ya [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]] yenye [[postikadi]] [[namba]] '''12000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf</ref>. Katika [[sensa]] ya mwaka [[2012]], [[idadi]] ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 634,924. Eneo lake ni [[km²]] 273.
 
Ilala yenyewe inahesabiwa kama [[manispaa]] ya Ilala ndani ya [[jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Inajumlisha [[kitovu]] cha kihistoria cha Dar es Salaam ambako kuna [[ofisi]] nyingi za [[serikali]] pamoja na [[Kampuni|makampuni]] makubwa na [[Duka|maduka]]. Nafasi ya kitovu chenyewe ni [[Sanamu ya Askari]]; [[mtaa|mitaa]] mingine maarufu ni [[Kariakoo]], [[Buguruni]], [[Kivukoni]] na kando yake iko [[Pugu]].