Dodoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1008230 lililoandikwa na 197.250.224.226 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 19:
'''[[Dodoma]]''' ni [[mji]] wa Tanzania ya kati. Imetangazwa kuwa [[mji mkuu]] wa [[Tanzania]] mwaka [[1973]], lakini [[serikali]] ilihamia kweli mwaka [[2016]] tu.
 
Mji ni pia [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Dodoma]] na eneo lake linahesabiwa kama '''Wilaya ya Dodoma'''.
yenye [[postikodi]] [[namba]] '''41100'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dodoma.pdf</ref>
.
 
Eneo la mji liko [[mita]] 1135 juu ya [[UB]]. Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], mji wa Dodoma ulikuwa na wakazi wapatao 410,956 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Dodoma - Dodoma MC]</ref> waishio humo.