Kleri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Religious Leaders, World Economic Forum 2009 Annual Meeting.jpg|thumb|Wakleri watatu: [[askofu mkuu]] Carey wa [[Kanisa]] [[Anglikana]], [[Rabbi]] Sacks wa Umoja wa [[sinagogi|Masinagogi]] ya [[Jumuiya ya Madola]], [[mufti]] mkuu Ceric wa [[Bosnia]], wakiwa pamoja na J. Wallis, [[mhariri]] wa [[gazeti]] la [[Injili|Kiinjili]] "Sojournes", [[Marekani]].]]
[[File:Orthodox clergy.jpg|thumb|right|[[Daraja takatifu]] tatu za [[Kanisa]] la [[Waorthodoksi|Kiorthodoksi]] zinavyojitokeza katika [[liturujia ya Kimungu]]: [[askofu]] (kulia, kwenye [[altare]], nyuma ya [[ukuta wa picha]]), [[padri]] (kushoto), na ma[[shemasi]] wawili (waliovaa rangi ya [[dhahabu]]).]]
[[File:StMichaelEOTC03b.jpg|thumb|left|150px|Wakleri wa [[Ethiopian Orthodox]] wakiongoza [[maandamano]] ya Mt. [[Mikaeli Malaika Mkuu]].]]
'''Kleri''' ni kundi la [[watu]] wanaoongoza [[dini]] fulani. [[Jina]] linatokana na [[neno]] la [[Kigiriki]] "κλῆρος" - ''klēros'', "bahati", "sudi" au also "urithi".
 
Katika [[madhehebu]] mengi ya [[Ukristo]] kleri ina [[daraja takatifu]] [[tatu]]: kuanzia juu ni [[uaskofu]], [[upadri]] na [[ushemasi]]. Hata hivyo baadhi yao wanapewa pia majina mengine kulingana na [[huduma]] zao, kwa mfano: [[Papa]], [[kardinali]], [[monsinyori]], [[abati]], [[kanoni]], [[arkimandrita]] n.k.
 
==Marejeo==