Chui milia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ar}} (11) using AWB (10903)
d Chui milia huWinda wanyama ... hawawaVindi ;-)
Mstari 28:
Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya [[Uhindi]], [[Siberia]] ya kusini na [[Indonesia]]. Mazingira wanayoendelea ni misitu. Siku hizi idadi ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuvindwa.
 
Chakula chao ni nyama inayopatikana kwa kuvindakuwinda wanyama. Kama wanyama wengi wanaofanana paka chui milia hupendelea kuvinda pekee yake. Kila mmoja ana eneo lake analoweka alama za kojo na kuitetea dhidi ya chui milia wengine.
 
Ukubwa wa wanyama hao hutofautiana kutokana na maeneo yao na nususpishi zao. Wale wa [[Sumatra]] ni wadogo wakiwa na urefu wa mwili (pamoja na kichwa bila mkia) sentimita 140 pekee na uzito wa 120 [[kg]]. Mkubwa ni chui milia wa Siberia mwenye urefu unaopita mita 2 na uzito wa kilogramu 150 (jike) hadi 250 (dume). Aina ya Siberia ni kubwa kushinda simba Mwafrika.