Mrijo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mrijo''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Chemba]] katika [[Mkoa wa Dodoma]] , [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''41803'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dodoma.pdf</ref>
. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 13104 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Dodoma - Chemba DC]</ref> waishio humo.
 
Baadhi ya vijiji vya kata ya Mrijo vyenye shule ya msingi ni Mrijo Juu, Mrijo Chini, Msaada, Nkulari na Songambele. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Mrijo ni [[Warangi]].