Kupaa Bwana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[image:Obereschach_Pfarrkirche_Fresko_Fugel_Christi_Himmelfahrt_crop.jpg|thumb|''Kupaa Kristo'' kadiri ya [[Gebhard Fugel]], [[1893]] hivi.]]
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Kupaa Bwana''' ni [[ukumbusho]] wa [[fumbo]] la [[Yesu Kristo]] kupaa katika [[utukufu]] wa [[mbinguni]] akiwa na [[mwili]] wake mzima ambao [[Ijumaa kuu]] [[msalaba wa Yesu|ulisulubiwa]] hata [[kifo cha Yesu|akafa]] akazikwa kabla [[ufufuko wa Yesu|hajafufuka]] [[siku]] ya [[tatu]] ([[Siku ya Bwana|Jumapili]]) kadiri ya [[imani]] ya [[Ukristo]].
 
[[Sherehe]] hiyo inaunganisha [[madhehebu]] mengi sana katika kumshangilia [[Yesu]] kufanywa [[Bwana]] wa wote na vyote.
Mstari 10:
 
== Historia ==
[[Adhimisho]] hilo ni la zamani sana. Ingawa hakuna uthibitisho wa [[Maandishi|kimaandishi]] kabla ya mwanzo wa [[karne ya 5]], [[Agostino wa Hippo]] alisema linatokana na [[Mababu wa Kanisa]] wa kwanza, na kwamba linafanyika katika [[Kanisa]] lote tangu [[muda]] mrefu.
 
Kweli linatajwa mara nyingi katika maandishi ya [[Yohane Krisostomo]], [[Gregori wa Nisa]], katika [[Katiba za Mitume]] na mengineyo ya [[Makanisa ya Mashariki]] na [[Kanisa la magharibi]].
Mstari 21:
[[Jamii:Liturujia]]
[[Jamii:Sikukuu za Ukristo]]
[[Jamii:Yesu Kristo]]