Vita ya Maji Maji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
Vita hivyo vilidumu kuanzia [[mwaka]] [[1905]] hadi [[1907]].
 
Chanzo kikubwa cha vita hii ni kwamba wanajamii walichoka kunyanyaswa na wakoloni. Baadhi ya manyanyaso hayo wakoloni waliwataka wanajamii kulima [[mazao]] ya [[Biashara|kibiashara]] na walikatazwa kulima mazao ya [[chakula]]; kwa [[mantiki]] hiyo wanajamii walilima [[mazao ya biashara]] na kuacha kulima mazao ya chakula kwa lengo la kuwanufaisha wakoloni huku wao wakipata [[njaa]] kwa sababu ya kutolima mazao ya chakula kwa ajili ya kuwapatia chakula na huku [[adhabu]] kali ikitolewa kwa wale watakaopinga.
 
Kwa sababu hiyo wananchi walilazimika kufanya [[kazi]] huku wakilipwa [[mshahara]] mdogo au kutolipwa kabisa. Watu ambao hawakulazimika kufanya kazi ni [[watoto]] wadogo na [[wazee]]; kwa wale [[vijana]] wenye nguvu walifanyishwa kazi ngumu lakini kwa upande wa [[wasichana]] na [[mama]] [[Ujauzito|wajawazito]] waliufanya kazi za ndani.
 
Moja ya changamoto walizozipata kwa upande wa vijana wa kiume ni kudhalilishwa kwa kupigwa mijeledi wakiwa uchi mbele ya [[wanawake]] wao na pia walitozwa [[pesa]] kubwa ukilinganisha na mshahara wanaopata ni kidogo: hizo ndizo baadhi ya changamoto walizozipata. Hivyo basi waliamua kukataa manyanyaso na masumbuko dhidi ya wakoloni.
 
Tunaona kwamba wahusika wakuu ni mtemi wa wanajamii [[Kinjekitile Ngwale]] na watemi wa Kijerumani.
 
Tunaona kwamba mtemi huyu wa [[kabila]] la [[Wanyamwezi]] aliamini kwamba [[maji]] ndiyo [[silaha]] ya kipekee ambayo ingetumika kuwashinda wakoloni hata akawaambia wananchi wake kwamba wakoloni wakirusha silaha waseme "maji" kwa madai ya kuwa silaha itabadilika na kuwa maji.
 
Wanajamii wake waliamini kusikiliza, kwa hiyo basi vita ilipoanza wakoloni walipoanza kuwashambulia wanajamii walisema, "maji", lakini tunaona kwamba jinsi walivyokuwa wakisema "maji" ndivyo walivyozidi kushambuliwa.
 
Tunaona madhara makubwa waliyoyapata: ni wanajamii wengi walipoteza maisha kwa hiyo [[nguvukazi]] ilipungua kwa kiwango kikubwa, lakini tunaangalia chanzo kikubwa kabisa ni kupinga manyanyaso.
 
==Marejeo==