Panji (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 6:
 
==Jina==
Panji ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote yaani karne ya 16. Hazikujulikana kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika atlasi[[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]].
 
Keyser alitumia jina la [[Kihispania]] “Dorado” linalomaanisha “ya dhahabu” na hii ni rangi ya samaki ya [[Panji]]. <ref>Panji inaitwa pia “Fulusi” katika maeneo kadhaa ya pwani la Afrika ya Mashariki. Jina la kitaalamu ni Coryphaena hippurus.</ref>