Kinyonga (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 7:
 
==Jina==
Kinyonga ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote yaani karne ya 16. Hazikujulikani kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika atlasi[[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]]. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]]<ref>Allen (tazama marejeo) hakuwa na habari za Placius hivyo aliandika ni Bayer aliyetangaza Kinyonga mara ya kwanza.</ref>.
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] la '' Het Chameljoen '' ([[Kinyonga]]) iliyotajwa baadaye kwa jina la Kigirikiki „Chamaeleon“.