Mhindi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
Mstari 6:
 
==Jina==
Mhindi ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote yaani karne ya 16. Hazikujulikana kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika atlasi[[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]] na kupokelewa katika “Uranometria” ya [[Johann Bayer]]..
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “De Indiaen” (yaani Mhindi) iliyotajwa baadaye kwa jina la [[Kilatini]] „Indus“. Jina hili alitumia kama kumbukumbu ya watu alioona mara ya kwanza katika maisha yake kwenye eneo la Bahari Hindi. Uhindi ya leo hakufika lakini aliita wenyeji wa Madagaska na pia visiwa vya Indonesia kwa jina hili. Baadaye ilichukuliwa kwa lugha kadhaa kwa maana ya “Wahindi Wekundu” yaani Maindio wa Marekani lakini si maana ya kiasili.
 
Leo iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Hin'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
 
==Nyota==