Nyoka Maji (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 10:
Nyoka Maji ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote yaani karne ya 16. Hazikujulikana kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika [[globu ya nyota]] ya [[Petrus Plancius]] na kuingizwa baadaye katika ramani ya nyota ya [[Johann Bayer]] iliyokuwa muhimu kwa elimu ya nyota<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/bayer%20southern.htm Johann Bayer’s southern star chart ], tovuti "Star Tales" ya Ian Ridpath, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Keyser alitumia jina la [[Kiholanzi]] “Waterslang” ([[Nyokanyoka Maji]]maji) iliyotajwa baadaye kwa jina la Kigirikiki „Hydrus“ ambalo kisarufi ni umbo la kiume la jina Hydra ([[Shuja (kundinyota)|Shuja]]), kundinyota kubwa ya [[nusutufe ya kaskazini]].
 
Leo iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Hyi'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>