Kim Jong-un : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kim Jong-un''' (matamshi ya Kikorea: [kim.dzʌŋ.ɯn] au [kim] [tsʌŋ.ɯn]; alizaliwa 8 Januari 1982-84 au 5 Julai 1984), ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Korea (WPK) na kiongozi mkuu wa Korea ya Kaskazini. Kim ni mtoto wa pili wa Kim Jong-il (1941-2011) na Ko Yong-hui. Kabla ya kuchukua mamlaka, Kim hakuonekana marahaonekanimara kwa mara kwa umma, na shughuli nyingi za Kim na serikali yake hazikujulikanahazijulikana. Hata maelezo kama vile mwaka gani alizaliwa, na kama alienda kweli shule nchi ya nchini[[Uswisi]] akitumia jina la uongo, ni vigumu kuthibitisha.