Mkoa wa Morogoro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 41:
'''Morogoro''' ni [[jina]] la [[mji]], [[wilaya]] na [[mkoa]] wa [[Tanzania]].
 
'''Mkoa wa Morogoro''' ni kati ya [[mikoa]] 31 ya Tanzania wenye [[Postikodi Tanzania|Postikodi namba]] 67000. Umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Tanga|Tanga]], [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Lindi|Lindi]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], [[Mkoa wa Dodoma|Dodoma]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]].
 
Eneo lake ni [[km²]] 72 939, ambapo kuna wakazi 2,218,492 (mwaka [[2012]]). Hivyo Morogoro ni kati ya [[mikoa ya Tanzania|mikoa mikubwa zaidi ya Tanzania]].