Simu za mikononi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Simu ya mkononi inaweza kutumika kwa [[mawasiliano]] ya mbali bila [[waya]]. Inafanya kazi kwa kuwasiliana na kituo cha mawasiliano kwa njia ya [[mnara]] (vilevile huita "mnarani") ambayo inaunganisha na [[mtandao]] mkuu wa simu. Ikiwa inatembea, kama simu inakuwa mbali sana na mnara iliyoungana nao awali, ule mnara unatuma [[ujumbe]] kwa mnara mwingine wa karibu kupokea mawasiliano. Utaratibu huu unasaidia simu isikatike, hivyo basi mawasiliano yanaendelea kwa kuunganishwa huko. Kupasiana huko kwa minara ([[lugha]] ya kitaalamu "hand-off"), kunatokea kiasi kwamba hata mtumiaji hawezi kujua kitu kama hicho kimetokea.
 
[[Teknolojia]] hii wakati inapoanzailipoanza ilikuwa ghali mno. Lakini kadiri inavyozidi kujulikana kutumika, ndivyo inavyozidi kuwa na [[gharama]] za chini, kiasi kwamba siku hizi karibu kila [[mtu]] anaweza kumudu gharama za matumizi ya simu ya mkononi.
 
Muundo mpya wa simu za mkononi unaitwa "SimuJanja" au "simu mtelezo". Muundo huu umekuwa maarufu ndani ya muda mfupi. Sehemu kubwa ya simu zilizotengenezwa kuanzia mwaka wa [[2010]] ni "[[simujanja]]". Zinaweza kutumika kama [[kompyuta]] na vilevile kupiga simu.