Johannes Hevelius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Heveliusdenkmal.jpg|200px|thumb|Makumbusho ya Hevelius mjini Gdansk]]
 
'''Johannes Hevelius''' (1611 – 1687) alikuwa mwanaastronomia na mfanyabiashara Mjerumani wa [[dola-mji]] Danzig ([[Gdansk]]) katika falme ya [[Poland]].
 
Alizaliwa katika familia ya wafanyabiashara kwa jina la Johann Hewelcke akatumia kwa maandiko ya kitaalamu umbo la kilatini la jina lake. Kwa Kipoland jina lake linatajwa kama Jan Heweliusz.
 
Akiwa mrithi wa biashara ya familia yake kupika [[bia]] aliendesha utafiti wa [[astronomia]] uliojenga sifa yake katika Ulaya wa wakati wake.
 
Alipata elimu ya hisabati na nyota kwake nyumbani akaendelea kusoma sheria na hisabati kwenye Chuo Kukuu cha [[Leyden]] ([[Uholanzi]]). Baada ya kurudi aliendesha biashara ya bia ya familia yake na kujenga kituo cha kutazama nyota juu ya nyumba yake mjini Danzig. Vifaa vya upimaji vya nyota alitengeneza mwenyewe.