Chuo Kikuu cha Oxford : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 94 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34433 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Radcliffe Camera, Oxford - Oct 2006.jpg|thumb|right|250px|Radcliffe Camera.]]
'''Chuo Kikuu cha Oxford''' (kwa kifupi Oxford) ni chuo kikuu cha utafiti nchini [[Ufalme wa Muungano]], kilichoanzishwa mnamo mwaka 1096 katika [[Oxford]], [[England]]. Hiki ni chuo kikuu cha kale kabisa katika ulimwengu unaotumia lugha ya <nowiki>[[Kiingereza]]</nowiki> na chuo kikuu cha pili duniani cha kale kinachoendelea kufanya kazi. Chuo hiki kilikuwa kwa kasi wakati Mfalme Henry wa Pili alipokataza wanafunzi wa Uingereza kuhudhuria Chuo Kikuu cha Paris. Baada ya mgogoro kati ya wanafunzi na wakazi wa Oxford mwaka 1209, baadhi ya wanataaluma walikimbilia Cambridge ambapo walianzisha Chuo Kikuu cha Cambridge. Vyuo hivi vikuu vya kale mara nyingi hujulikana kama "Oxdridge".
'''Chuo Kikuu cha Oxford''' ni chuo kikuu nchini [[Ufalme wa Muungano]], kilichoanzishwa mnamo mwaka 1096 katika [[Oxford]], [[England]].
 
Chuo kikuu hiki kinajumuisha taasisi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na vyuo vikuu vishiriki 38 vyenye na idara mbalimbali za kitaaluma ambazo zimepangwa katika makundi manne. Vyuo vyote ni taasisi za kujitegemea ndani ya chuo kikuu, kila mmoja kikidhibiti uanachama wake na kwa muundo wake wa ndani na shughuli zake.
 
== Viungo vya Nje ==