Joho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Fashion Plate Manteau 1823.jpg|thumb|Joho la [[jioni]] la huko [[Paris]], [[Ufaransa]], [[1823]].]]
[[File:Henning Toft Bro1 (bispevielse).jpg|right|thumb|[[Maaskofu]] [[Walutheri]] wa [[Udani]] wenye kuvaa joho juu ya [[mavazi]] mengine.]]
'''Joho''' (kwa [[Kiingereza]]: "cloack") ni [[vazi]] pana linalofanana na [[koti]] refu ambalo mbele liko wazi. Aghalabu hushonwa au hunakshiwa kwa darizi katika sehemu za [[shingo]]ni na mbele.
 
Line 5 ⟶ 6:
 
[[Bara|Barani]] [[Afrika]] joho huvaliwa hasa kwenye [[mahafali]] baada ya kumaliza [[elimu]] ya juu.
 
Katika [[madhehebu]] kadhaa ya [[Ukristo]] linatumika katika [[ibada]] mbalimbali, pengine kwa jina la "pluviale" (yaani "nguo ya mvua"; kwa Kiingereza: "cope").
 
{{mbegu-utamaduni}}