Tofauti kati ya marekesbisho "Uprotestanti"

641 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
'''Uprotestanti''' ni aina ya [[Ukristo]] iliyotokana na [[Kanisa Katoliki]] huko [[Ulaya Kaskazini]] katika [[karne XVI]] kufuatana na tapo la kidini na la kisiasa maarufu kwa jina la "[[Matengenezo ya Kiprotestanti]]". Wahusika wakuu wa tapo hilo ni [[Martin Luther]] na [[Yohane Kalvini]].
 
== Asili ya jina ==
[[Martin Luther]], [[daktari]] wa [[teolojia]] na [[padri]] [[mtawa]], alisema kuwa [[Kanisa]] linapaswa kurejea kwenye [[mizizi]] yake, na kutoa uzito zaidi kwa yale yaliyoandikwa katika [[Biblia]]. Luther alidhani kuwa Kanisa limekwenda mbali na [[mafundisho]] ya awali. Alichapisha [[tasnifu]] 95 kuhusu njia ya Kanisa Katoliki. Wengine wanasema, alizipigilia kwenye [[mlango]] wa kanisa la [[Wittenberg]], lakini wengine wanasema hii si kweli. Tasnifu 95 zilichapishwa mnamo mwaka wa [[1516]] au [[1517]]. Kwa maneno hayo, yalianza Matengenezo ya Kiprotestanti.
 
== Jina ==.
Mwaka [[1529]], kikao cha [[Bunge]] la [[Speyer]] ([[Ujerumani]]), lilikatazakikao tenacha uenezajiwakuu wa [[Ujerumani]] na [[miji huru]] kilipokuwa kikiongea dhidi ya Matengenezo lilikataza tena uenezaji wake katika [[Dola Takatifu la Kiroma]] mpaka [[Mtaguso mkuu]] utakaporudisha utaratibu ndani ya [[Kanisa]].
 
Lakini watawala waliomuunga mkono Luther walitoa hati ya pamoja inayoanza na maneno ''Protestamur'', yaani ''Tunapinga''.
 
== Teolojia ==
 
Uprotestanti unagawanyika katika maelfu ya [[madhehebu]] tofauti, lakini inawezekana kutambua mambo kadhaa yanayolingana katika hayo yote:
* kusisitiza [[Biblia]] kama msingi wa [[imani]].