Ramadan (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Masahihisho aliyefanya Ndesanjo (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Dexbot |
||
Mstari 1:
{{Islam}}
'''Ramadhani''' au '''ramadan''', '''ramazani''' (kwa [[Kiarabu]] '''رمضان''') ni mwezi wa tisa katika [[Kalenda ya Kiislamu]] na mwezi wa [[saumu|kufunga]] katika [[Uislamu
Matendo hayo ya [[toba]] yanaendana na kuswali sana na kusoma [[quran]] kwa wingi.
Mwisho wa Ramadhani ni [[sikukuu]] ya [[Idul Fitri]] (عيد الفطر - ʿīdu ʾl-fiṭr) ambayo ni sherehe ya furaha na kupongezana. Waislamu hutoa [[zakat]] (zakatul-fitri زكاة الفطر) na kusali, baadaye hukutana kwenye [[karamu]].
==Asili: Qurani kuhusu Ramadan==
Ramadan inatajwa katika Quran kwenye Sura 2 aya 185 inayosema:<br>
:Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni wongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa [[mgonjwa]] au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. [[Mwenyezi]] [[Mungu]] anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru.
|