Johannes Hevelius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Johannes Hevelius.PNG|200px|thumb|Johannes Hevelius jinsi alivyochorwa na Daniel Schulz wa Danzig]]
[[Picha:Heveliusdenkmal.jpg|200px|thumb|Makumbusho ya Hevelius mjini Gdansk]]
'''Johannes Hevelius''' ([[1611]] – [[1687]]) alikuwa [[mwanaastronomia]] na [[mfanyabiashara]] [[Mjerumani]]<ref>Hevelius anatajwa mara nyingi kuwa Mpoland; alitoka katika familia wa raia Wajerumani wa mji wa Danzig iliyokuwa sehemu ya kujitawala wa Milki ya Poland-Lithuania. Idadi kubwa wa wakazi walikuwa Wajerumani kiutamaduni katika kipindi kile kabla ya kuanzishwa kwa utaifa wa baadaye.</ref> wa [[dola-mji]] Danzig ([[Gdansk]]) katika falme ya [[Poland]].
 
==Maisha==