Johannes Hevelius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 16:
Mwaka [[1679]] mwanastronomia [[Mwingereza]] [[Edmond Halley]] alimtembelea Danzig akiangalia nyota pamoja na Hevelius na kulinganisha [[vipimo]]. Halley alishangaa jinsi gani vipimo vya Hevelius aliyekataa matumizi ya darubini vililingana kabisa na vyake mwenyewe alivyochukua kwa njia ya kifaa hiki.
 
Baada ya [[kifo]] cha [[mke]] wake wa kwanza aliendelea na kazi ya nyota pamoja na mke wake wa pili [[Elisabeth Hevelius]] akatunga orodha ya nyota 1,564 iliyokuwa orodha kubwa ya wakati wake. Humo alibuni [[kundinyota]] mpya na [[Saba (namba)|saba]] kati ya hizi zinaendelea kutumiwa kati ya orodha ya kundinyota 88 za kisasa za [[Ukia]]. Hizi ni: [[Mbwa wawindaji (kundinyota)|Mbwa wawindaji]] (''[[:en:Canes Venatici (constellation)|Canes Venatici]])'', [[Mjusi (kundinyota)|Mjusi]] (''[[:en:Lacerta (constellation)|Lacerta]]''), [[Simba Mdogo (kundinyota)|Simba Mdogo]] (''[[:en:Leo Minor (constellation)|Leo Minor]]''), [[Pakamwitu (kundinyota)|Pakamwitu]] (''[[:en:Lynx (constellation)|Lynx]]''), [[Ngao Kundinyota(kundinyota)|Ngao]] (''[[:en:Scutum (constellation)|Scutum]]''), [[Sudusi (kundinyota)|Sudusi]] (''[[:en:Sextans (constellation)|Sextans]]'') na [[Mbweha (kundinyota)|Mbweha]] (''[[:en:Vulpecula (constellation)|Vulpecula]]''). Orodha hii pamoja na [[atlasi ya nyota]] (Prodromus Astronomiae) zilitolewa mwaka 1690 na mke wake anayetazamiwa kuwa mwanastronomia wa kwanza wa kike anayejulikana.
 
==Viungo vya nje==