Tofauti kati ya marekesbisho "Haumea"

246 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Haumea ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] miwili: [[Hiiaka]] na [[Namaka]].
 
Haumea inaita obiti yake ya kuzunguka Jua katika muda wa miaka 285 na miezi 6.
 
[[Periheli]] yake ina umbali wa [[vizio astronomia]] 35, [[afeli]] wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.
 
Obiti ina mwinamo wa nyuzi 28,2° dhidi ya [[ekliptiki]].
 
{{Mfumo wa jua}}