Tofauti kati ya marekesbisho "Haumea"

772 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
[[File:2003EL61art.jpg|thumb|Kielelezo cha Haumea]]
'''Haumea''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] letu katika [[umbali]] mkubwa kwenye [[ukanda wa Kuiper]]. Iitambuliwa mwaka
 
Haumea ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] miwili: [[Hiiaka]] na [[Namaka]].
 
Haumea inapita obiti yake ya kuzunguka Jua katika muda wa miaka 285283 na miezi 6.<ref>[http://www.johnstonsarchive.net/astro/astmoons/am-136108.html (136108) Haumea, Hi'iaka, and Namaka ], data za haumea kwenye tovuti ya johnstonsarchive.net, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
[[Periheli]] yake ina umbali wa [[vizio astronomia]] 35, [[afeli]] wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.
Obiti ina mwinamo wa nyuzi 28,2° dhidi ya [[ekliptiki]].
 
Masi yake ni takriban theluthi moja ya [[Pluto]]. Umbo halifanani na tufe; umbo la Haumea limefananishwa na kiazi au sigara. NadhariaVipimo mojavyake inajaribuvinakadiriwa kuelezakuwa umbokilomita na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka bilioni 4 iliyopita.<ref>[http://web.gps.caltech.edu/~mbrown/2003EL61 ]2, tovuti ya Caltech322 × 1, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>701 × 1,138.
 
Nadharia moja inajaribu kueleza umbo na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka bilioni 4 iliyopita.<ref>[http://web.gps.caltech.edu/~mbrown/2003EL61 ], tovuti ya Caltech, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>. Kutokana na mgongano huu inadhaniwa ya kwamba vpande vingi vya gimba la awali viliachana na Haumea vikiifuata sasa kama wingu la vipande vidogo.<ref>[http://www.nature.com/nature/journal/v446/n7133/full/nature05619.html?foxtrotcallback=true A collisional family of icy objects in the Kuiper belt], hitimisho ya makala kwenye tovuti ya nature.com, Nature 446, 294-296 (15 March 2007), iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
== Marejeo ==
<references/>
*[http://twitpic.com/59rbgj Haumea jinsi ilivyoonekana tar. 10 Juni 2011]
 
{{Mfumo wa jua}}