Tofauti kati ya marekesbisho "Haumea"

no edit summary
Masi yake ni takriban theluthi moja ya [[Pluto]]. Umbo halifanani na tufe; umbo la Haumea limefananishwa na kiazi au sigara. Vipimo vyake vinakadiriwa kuwa kilomita 2,322 × 1,701 × 1,138.
 
Nadharia moja inajaribu kueleza umbo na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka bilioni 4 iliyopita.<ref>[http://web.gps.caltech.edu/~mbrown/2003EL61 Haumea the strangest known object in the Kuiper belt], tovuti ya Caltech, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>. Kutokana na mgongano huu inadhaniwa ya kwamba vpandevipande vingi vya gimba la awali viliachana na Haumea vikiifuata sasa kama wingu la vipande vidogo.<ref>[http://www.nature.com/nature/journal/v446/n7133/full/nature05619.html?foxtrotcallback=true A collisional family of icy objects in the Kuiper belt], hitimisho ya makala kwenye tovuti ya nature.com, Nature 446, 294-296 (15 March 2007), iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
== Marejeo ==