Washaki (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
Pakamwitu –Lynx ina nyota hafifu tu. Nyota angavu zaidi ni Alfa Lyncidis yenye [[mag]] 4.49 ikiwa na umbali wa [[miaka ya nuru]] 280 kutoka [[Dunia]]<ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/alphalyn.html Alpha Lyn], tovuti ya Prof. Jim Kaler, University of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
Pakamwitu –Lynx ina idadi ya nyota pacha zinazoweza kuangaliwa kwa darubini ya wastani<ref>Linganisha Richard Hinckley Allen: Star-Names and their Meanings, uk 280</ref> Nyota angavu ya pili ni 38 Lyncis<ref>38 Lyncis ni [[namba ya Flamsteed]].</ref> yenye [[mag]] 3.8. Ni rahisi kuitambua kwa darubini kuwa nyota mbili za mag 3.9 na nyingine za mag 6.1.<ref name=Monks>{{cite book|author=Monks, Neale|title=Go-To Telescopes under Suburban Skies|url=https://books.google.com.au/books?id=waO6tUtfblsC&pg=PA58|pages=56–58|isbn=978-1-4419-6851-7|year=2010|publisher=[[Springer Science+Business Media]]|location=New York, New York}}</ref>
 
==Tanbihi==