Arthur Schopenhauer : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Reverted KihaririOneshi |
No edit summary Tags: Reverted KihaririOneshi |
||
Mstari 1:
Arthur Schopenhauer (22 Februari 1788 - 21 Septemba 1860) alikuwa [[Mwanafalsafa]] wa [[Ujerumani]]. Yeye anajulikana kwa kazi yake ya 1818 ([[The World as Will and Representation|The World as will and Representation]]) "Dunia kama
Ingawa kasi yake haikupata umaarufu wakutajika wakati alikua hai, Schopenhauer amekua na ushawishi mkubwa baada ya kifo chake kupitia kazi zake katika nyanja kadhaa, zikiwemofalsafa, fasihi na sayansi.
Mstari 7:
= [[Fikira]] =
== Falsafa ya "
Makala kuu: Dunia kama
Lengo muhimu la Schopenhauer ilikuwa uchunguzi wake wa motisha ya mtu binafsi. Kabla ya Schopenhauer, Hegel alikua amemaarufisha dhana ya '''''Zeitgeist''''', dhana kwamba jamii ikona fahamu unganifu ya pamoja ambayo inayosafiri kwa njia teule, na inatawala vitendo vya wanachama wake. Schopenhauer, msomaji wa Kant na Hegel Wote, alikashifu dhana zao za mantiki chanya (Logical optimism) na imani kwamba maadili ya mtu binafsi inaweza kuongozwa na jamii au sababu tupu. Schopenhauer alishikilia imani kuwa binadamu alipata motisha kwa msingi ya uchu na dhamira zao wenyewe au
Kwa Schopenhauer, tamaa ya kibinadamu haikuwa na maana, haijulikani, haielewi, na, kwa upanuzi, hivyo hatua zote zakibinadamu zinaambulia patupu. Einstein alifalisi maoni haya kama ifuatavyo: "Mtu anaweza kufanya kile anachotaka, lakini hawezi
== [[Sanaa]] na [[esthete]] ==
Makala kuu: esthete ya Arthur Schopenhauer
Kwa mujibu wa Schopenhauer, tamaa ya binadamu, "
Alizingatia muziki kama huru kutoka wakati, lugha yakiulimwengu inayojulikana kila mahali, ambayo inaweza kuchanjia mataifa yote na uchangamfu, ikiwa imechukua mafuatano ya sauti maarufu.
Mstari 38:
=== [[Siasa]] ===
Siasa za Schopenhauer zilikuwa, kwa sehemu kubwa, marejeleo ya mfumo wake wa maadili (ya jamii ilipata sauti kwa ''Die beiden Grundprobleme der Ethik,'' inayopatikana kwa kiingereza kwa vitabu viwili, ''On the Basis of Morality'' na ''On the Freedom of the
Katika maoni ya mara kwa mara ya siasa katika kazi zake za ''Parerga and Paralipomena'' na ''Manuscript Remains'', Schopenhauer anajieleza mwenyewe kama mpendekezi wa serikali finyu. Cha mno, alidhani, ni kuwa serikali inapaswa “kuwacha kila mtu huru ajitafutie wokovu wake mwenyewe”, na ikiwa serikali itasita kudoea au kuingilia haya, yeye alipendekeza zaidi “afadhali kutawaliwa na simba kuliko panya wenzake”- hiyo nikumaanisha, na mfalme, kuliko kiongozi wa demokrasia. Schopenhauer aliunga mkono maoni ya Thomas Hobbes ya umuhimu wa serikali, na wa utendakazi wake, kuchunga mielekeo yetu ya uharibufu ambayo ni ya undani na imeambatana na asili ya aina yetu. Yeye bado alitetea tawi huru za utunga-sheria, mahakama, na utekelezaji za nguvu, na aliona mfalme kama kipengele huru ambacho kinaweza tekeleza haki (anamaanisha katika matumizi ya kila siku, sio kwa maana ya kikosmologia). Alitangaza ufalme kama “kile ambacho ni cha hali ya kawaida kwa binadamu” kwani “uerevu daima chini ya serikali ya ufalme umekua ukipata nafasi bora zaidi kupiku adui wake mkuu, ujinga” alihujumu ujamhuri kama “yasiyo asili kwani inasusia hatua za uerevu wajuu, sanaa na sayansi”
|