Entomolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Entomolojia''' ni sayansi ya wadudu. Watu ambao hujifunza wadudu wanaitwa wanaentomolojia. Wadudu wamekuwa wakisomwa tangu nyaka...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Entomolojia''' (kwa [[Kiingereza]] "entomology" kutoka [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] ἔντομον, entomon, "mdudu"; na -λογία, -logia, "elimu") ni [[sayansi]] ya [[wadudu]]. [[Watu]] ambao hujifunza wadudu wanaitwa [[mwanaentomolojia|wanaentomolojia]]. Wadudu wamekuwa wakisomwa tangu nyakati za awali, lakini haikuwa mapema kama [[karne ya 16]] kwamba wadudu walisomawalisomwa kisayansi.
 
Wataalam[[Wataalamu]] wengine wanajifunza jinsi wadudu wanavyohusiana. Wengine hujifunza jinsi wadudu wanavyoishi na [[kuzaa]] kwa sababu hatujui mengi kuhusu aina fulani za wadudu. WataalamWataalamu wengine wanajifunza njia za kuweka wadudu mbali na [[mazao]] ambayo watu hutumiahuyatumia kama [[chakula]]. Kuna ma[[bilioni]] ya aina zisizojulikana [[ulimwengu]]ni kote na wataalamwataalamu wa [[taksonomia]] wanajumuisha wapya waliopatikana.
 
Wanaentomolojia hukutana ili kuzungumza juu ya [[utafiti]] wao wa wadudu na kushiriki [[mawazo]], kama wanasayansi wote wanavyofanya.
 
{{mbegu-anatomiabiolojia}}
 
[[Jamii:mbegu za sayansi]]