Utungisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|299px|thumb|[[Mbegu ya shahawa ikiingilia kijiyai.]] '''Utungisho''' (kwa Kiingerezaː ''Fertilisation'' au ''fertilization...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Sperm-egg.jpg|right|299px|thumb|[[Mbegu]] ya [[shahawa]] ikiingilia [[kijiyai]].]]
'''Utungisho''' (kwa [[Kiingerezaː]] ''Fertilisation'' au ''fertilization''; pia '''generative fertilisation''', '''conception''', '''fecundation''', '''syngamy''' na '''impregnation'''<ref>http://www.oxfordlearnersdictionaries.com/definition/english/impregnation</ref>) ni muungano wa [[gameti]] ya kiume na ya kike ambao ni mwanzo wa [[kiumbehai]] mpya.
 
Utungisho ni wakati muafaka katika mchakato mzima wa [[kuzaliana]]. Huanza pale [[mbegu]] ya [[manii]] inapokutana na sehemu ya nje ya [[kijiyai]] (''ovum'') na humalizikia pale [[kiini]] cha mbegu hiyo kinapoungana na kile cha yai kuaunda [[seli]] [[moja]] ambayo baadaye hukua na kufikia hali ya kiumbe kikubwa cha [[spishi]] yake.
 
[[Utungisho]] hutokea kwa [[wanyama]] hali kadhalika kwa [[mimea]] ambayo huzaliana kwa [[ogani]] zote za kike na kiume kuchangia katika kutengeneza kiumbe kipya.
 
==Tazama pia==
̈* [[Utungisho katika wanyama]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
{{mbegu-biolojia}}
Line 9 ⟶ 16:
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Uzazi]]
[[Jamii:Jinsia]]