Entomolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho
 
Mstari 1:
[[Image:LeafInsect.jpg|thumb|upright=1.2|[[Mdudu-jani]] wa jamii[[oda]] ya [[Phasmatodea]] akijifananishaanayefanana na [[jani]].]]
'''Entomolojia''' (kwa [[Kiingereza]] "entomology" kutoka [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] ἔντομον, entomon, "mdudu"; na -λογία, -logia, "elimu") ni [[sayansi]] ya [[wadudu]]. [[Watu]] ambao hujifunza wadudu wanaitwa [[wanaentomolojia]]. Wadudu wamekuwa wakisomwa tangu nyakati za awali, lakini haikuwa mapema kama [[karne ya 16]] kwamba wadudu walisomwa kisayansi.
 
[[Wataalamu]] wengine wanajifunza jinsi wadudu wanavyohusiana. Wengine hujifunza jinsi wadudu wanavyoishi na [[kuzaa]] kwa sababu hatujui mengi kuhusu aina fulani za wadudu. Wataalamu wengine wanajifunza njia za kuweka wadudu mbali na [[mazao]] ambayo watu huyatumia kama [[chakula]]. Kuna ma[[bilioni]] ya aina zisizojulikana [[ulimwengu]]ni kote na wataalamu wa [[taksonomia]] au [[uainishaji]] wanajumuisha wapya waliopatikana.
 
Wanaentomolojia hukutana ili kuzungumza juu ya [[utafiti]] wao wa wadudu na kushiriki [[mawazo]], kama wanasayansi wote wanavyofanya.