Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
[[fr:Sukuma]]
[[pl:Język sukuma]]
 
Shughuri za kiuchumi.
Shughuri kuu za kiuchumi kwa wasukuma ni kilimo,uvuvi na biashara.
Pamba ndio zao kuu la kibiashara kwa wasukuma, ambao pia hulima mazao mengine kama mpunga, tumbaku, mahindi na matunda(Kisiwani ukerewe)
Wasukuma pia ni wafanyabiashara wa uvuvi, madini mbalimbali kama vile dhahabu, almasi na madini mengineyo.