Taka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Taka''' (kwa Kiingereza "waste")ni bidhaa au kifaa chochote kisichohitajika au kisichoweza kutumika,au taka ni kifaa chochote kilichotupwa ba...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:11, 14 Oktoba 2017

Taka (kwa Kiingereza "waste")ni bidhaa au kifaa chochote kisichohitajika au kisichoweza kutumika,au taka ni kifaa chochote kilichotupwa baada ya matumizi ya msingi au hakina kazi yoyote kwa mtumiaji.

taka zikiwa kwenye shimo

Taka zina athari nyingi katika jamii.Athari hizo ni 1.Taka husababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo homa ya manjano,minyoo,kansa n.k 2.Husababisha uharibifu wa mazingira.hufanya mazingira kuwa machafu. 3.Taka husababisha uharibifu wa maji,misitu.n.k 4.Taka zikichomwa hutoa moshi ambao husababisha uharibifu wa tabaka la ozoni ambalo hupunguza mwanga wa jua kufikia kwenye ardhi ya dunia. Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye mashimo na kisha kuzichoma moto ili zisije zikaleta madhara kwenye jamii.