Katografia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Pyrenees topographic map-fr.svg|alt=Katografia|thumb|252x252px|
'''Katografia''' (kwa [[Kiingereza]] "cartography") ni [[elimu]] ya kutengeneza [[ramani]]. Ni sehemu ya [[jiografia]]. Mtu ambaye hufanya ramani huitwa [[mchoraji]] wa ramani.
Jinsi [[watu]] wanavyotengeneza [[ramani]] inabadilika kila wakati. Huko nyuma, ramani ilikuwa inatolewa kwa [[mkono]], lakini leo zaidi ramani inachapishwa kwa kutumia [[kompyuta]].
|