Taka : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Taka''' (kwa Kiingereza "waste")ni bidhaa au kifaa chochote kisichohitajika au kisichoweza kutumika,au taka ni kifaa chochote kilichotupwa ba...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Taka''' (kwa [[Kiingereza]] "waste") ni [[bidhaa]] au [[
▲[[Picha:WasteFinalDeposited.jpg|thumb|235x235px|taka zikiwa kwenye shimo]]
Taka zina [[athari]] nyingi katika [[jamii]]. Athari hizo niː
̽*1. Taka husababisha [[magonjwa]] mbalimbali ikiwemo [[homa ya manjano]],[[minyoo]], [[kansa]] n.k.
*2. Husababisha [[uharibifu wa mazingira]]: hufanya [[mazingira]] kuwa machafu.
*3. Taka husababisha uharibifu wa [[maji]], [[misitu]] n.k.
*4. Taka zikichomwa hutoa [[moshi]] ambao husababisha uharibifu wa [[tabaka la ozoni]] ambalo ni muhimu kwa kupunguza [[mwanga]] wa [[jua]] kufikia kwenye [[ardhi]] ya [[dunia]].
Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye [[mashimo]] na kisha kuzichoma [[moto]] ili zisije zikaleta [[madhara]] kwenye jamii.
{{mbegu-biolojia}}
[[Jamii:Ekolojia]]
|