Tofauti kati ya marekesbisho "Seminari"

235 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[Archivo:SeminarioAsidoniaJerez2.jpg|thumb|250px|[[Misa]] katika seminari kuu ya Asidonia-Jerez.]]
[[File:Stations at SHAS.jpg|thumb|Waseminari wakishiriki [[ibada]] ya [[Njia ya Msalaba]] kwenye [[Ijumaa Kuu]], [[2009]].]]
'''Seminari''' ni muundo wa [[malezi]] unaotoa mafunzo ya [[dini]], hususan [[Ukristo]], yakiwa pengine pamoja na [[elimu dunia]].
 
'''Seminari kuu''', au '''vyuo vya teolojia''', ni muundo wa malezi ya juu kwa watu wanaolenga moja kwa moja [[upadri]] au [[huduma]] nyingine ya [[uongozi]] katika [[Kanisa]].
 
Tofauti na hiyo, '''seminari ndogo''' inalea [[vijana]] kuanzia baadhi ya [[darasa|madarasa]] ya [[shule ya msingi]] hadi vidato vya [[sekondari]].
==Marejeo==
{{Reflist}}
 
==External links==
*[http://www.vatican.va/archive/ENG1104/_INDEX.HTM Code of Canon Law (1983), IntraText edition with referenced concordance, hosted by the Vatican]
*[http://www.newadvent.org/cathen/09056a.htm Catholic Encyclopedia: Canon Law]
 
{{mbegu-dini}}