Mmumunyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 7:
[[Gesi]] zinaweza kumumunyika katika kiowevu, kwa mfano [[oksijeni]] katika maji ambayo ni msingi wa [[uhai]] [[Bahari|baharini]] au [[Mto|mtoni]]. Gesi inamumunyika pia katika gesi nyingine. [[Hewa]] kwa mfano ni mchanganyiko wa aina moja; oksijeni na gesi nyingine zimemumunyika katika [[nitrojeni]].
 
Kiowevu kinaweza kumumunyika katika kiowevu kingine, lakini kuchanganya maji na [[mafuta]] hakuleti mchanganyiko wa aina moja, tokeo lake ni [[kiolei]] au emalshani ''(ing. [[:en:emulsion|emulsion]])''.
 
Kuna pia mifano ya mmumunyo kama kimumunyi ni [[mango]]. [[Aloi]] zote ni mimumunyo ya [[metali]] mbili, kwa mfano [[bronzi]] ni mmumunyo wa [[stani]] iliyomumunika katika [[shaba]]. Mmumunyo wa aloi unatokea katika hali kiowevu wakati metali zote mbili zilipashwa [[moto]] na kuyeyuka.