Hidrojeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24:
 
== Muundo wa atomi ==
Atomi za H zina [[elektroni]] moja tu inayozunguka [[kiini cha atomi]]. Hidrojeni ya kawaida ina [[protoni]] moja tu. Hii ni zaidi ya asilimia 98 ya [[isotopi]] zote za hidrojeni. Kuna pia isotopi yenye nyutroni moja au mbili katika kiini lakini zinatokea mara chache tu.
 
Kuna isotopi mbili zinazoitwa [[Duteri]] ''([[:en:deuterium|deuterium]])'' na [[Triti]] ''([[:en:tritium|tritium]])''.
 
== Kupatikana kwake ulimwenguni ==