Vega : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
Jina latokana na Kiarabu ا<big>لنسر الواقع</big> ''al-nasr al-waqi'' , hasa kutoka sehemu ya pili <big>واقع</big> ambamo herufi ya <big>ق</big> ''q'' ilichukuliwa kama "g" na hivyo kuleta "Vega" kwa tahajia ya Kilatini. Hii ni jina lililokubaliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]]<ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya Ukia, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Vega ni [[nyota ya safu kuu]] [[Myeyungano wa kinyuklia|inayoyeyunganisha]] [[hidrojeni]] kuwa [[heli]] ndani ya kiini chake. Masi yake ni zaidi ya mara mbili ya masi ya [[Jua]]. Ilhali nyota kubwa huchoma fueli yao ya myeyungano karaka kuliko nyota ndogo zaidi Vega itakuwa na maisha mafupi kuliko Jua. Kwa sasa mwangaza halisi ni mara kumi ya Jua. Inazunguka haraka kwenye mhimili wake.
 
Hadi sasa [[sayari]] hazikuthebitishwa zinazozunguka Vega. Lakini kuna dalili ya kwamba kuna mata inayozunguka nyota iliyo katika mchakato ya kujikaza kuwa sayari <ref>[https://web.archive.org/web/20081216160151/http://outreach.jach.hawaii.edu/pressroom/1998_vega/ Astronomers discover possible new Solar Systems in formation around the nearby stars Vega and Fomalhaut], tovuti ya outreach.jach.hawaii.edu, iliyohifadhiwa kwa archive.org, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==
 
* [http://stars.astro.illinois.edu/sow/vega.html Vega], tovuti ya prof Jim Kaler, university of Illinois, iliangaliwa Oktoba 2017
 
[[Jamii:Nyota]]