Istanbul : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Replacing Istambul_and_Bosporus_big.jpg with File:Istanbul_and_Bosporus_big.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 3 (obvious error) · Clear typo in name.).
Mstari 1:
[[Picha:IstambulIstanbul and Bosporus big.jpg|thumb|300px|Istanbul kutoka [[Anga|angani]]; juu iko Bahari Nyeusi, chini Bahari ya Marmara; sehemu ya Asia upande wa kulia, Ulaya upande wa kushoto wa Bosporus; "Pembe la dhahabu" ni mkono wa bahari unaoonekana chini upande wa Ulaya]]
'''Istanbul''' (kwa [[Kituruki]] unatajwa '''İstanbul''') ni [[mji]] mkubwa zaidi katika nchi ya [[Uturuki]], ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya [[milioni]] 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya [[dunia]]. Huu ndio mji mkuu wa [[Mkoa wa İstanbul]].