Pesheni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Funchal_Public_Market_-_16.jpg|thumb|Mafungu tofauti tofauti ya mapesheni yakiwa sokoni]]
'''Pesheni''' (kutoka [[Kiingereza]] "Passion", yaani "Mateso (ya [[Yesu]])"; kwa [[Kiswahili]] piaː '''Karakara''') ni [[tunda]] la [[mmea]] unaotambaa ambalo ndani lina [[mbegu]] nyingi nyeusi na nyama ya nyuzinyuzi. Mara nyingi hutumiwa kutengenezea [[juisi]].Pia pesheni ni chanzo cha carotene, vitamini C na chuma.
{{mbegu-biolojia}}
|