Rushwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Rushwa ni aina ya mwenendo usio wa uaminifu au usiofaa kwa mtu aliyepewa nafasi ya mamlaka, mara nyingi ili kupata faida binafsi.Ufisadi unaweza kuh...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Rushwa''' (pia: chai, chauchau, chichiri, chirimiri, hongo, kadhongo, kiinikizo, kilemba, mlungula, mrungura, mvungulio n.k.) ni aina ya mwenendo usio wa [[uaminifu]] au usiofaa kwa [[mtu]] aliyepewa nafasi ya [[mamlaka]], marakumbe nyingianatumia nafasi hiyo ili kupata [[faida]] binafsi.

[[Ufisadi]] unaweza kuhusisha [[shughuli]] nyingi ikiwa ni pamoja na [[rushwa]] na [[udhalimu]], ingawa inaweza pia kuhusisha mazoea ambayo ni ya ki[[sheria]] katika nchi nyingi.

Upande wa [[Serikaliserikali]], au 'ki[[siasa]]', rushwa hutokea wakati [[mmiliki]] wa [[ofisi]] au [[mfanyakazi]] mwingine wa serikali anafanya [[kazi]] rasmi kwa faida binafsi.
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Sheria]]