Nyungunyungu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|nyungunyungu ''Nyungunyungu'' ni mdudu mwenye umbo la mviringo anapatikana katika phailum Annelida.Nyun...' |
Nyongeza sanduku la uainishaji na masahihisho |
||
Mstari 1:
{{uainishaji
[[Picha:Earthworm on the ground-cropped.jpg|thumb|nyungunyungu]]▼
| rangi = #D3D3A4
| jina = Anelidi
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Nyungunyungu
| himaya = [[Animalia]] (Wanyama)
| nusuhimaya = [[Eumetazoa]] (Wanyama wenye tishu za kweli)
| faila_ya_juu = [[Lophotrochozoa]]
| faila = [[Annelida]] (Wanyama kama [[nyungunyungu]])
| ngeli = [[Clitellata]]
| nusungeli = [[Oligochaeta]]
| oda = [[Megadrilacea]]
| nusuoda = [[Lumbricina]] + [[Moniligastrida]]
| subdivision = '''Familia 21:'''<br>
*[[Acanthodrilidae]]
*[[Ailoscolecidae]]
*[[Almidae]]
*[[Benhamiinae]]
*[[Criodrilidae]]
*[[Diplocardiinae]]
*[[Eudrilidae]]
*[[Exxidae]]
*[[Glossoscolecidae]]
*[[Hormogastridae]]
*[[Kynotidae]]
*[[Lumbricidae]]
*[[Lutodrilidae]]
*[[Megascolecidae]]
*[[Microchaetidae]]
*[[Moniligastridae]]
*[[Ocnerodrilidae]]
*[[Octochaetidae]]
*[[Octochaetinae]]
*[[Sparganophilidae]]
*[[Tumakidae]]
}}
''Nyungunyungu'' ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wenye [[umbo]] la neli wa [[oda]] [[Megadrilacea]] katika [[faila]] [[Annelida]]. Kwa kawaida huishi katika udongo akijilisha katika viumbe mfu na hai. [[Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]] wa nyungunyungu unanyumbua kupitia urefu wa mwili wake. Na wanaendesha upumuaji kupitia ngozi yake. Mfumo wa kupeleka viowevu ni maradufu na una uvungu wa mwili ([[silomi]]) ambao ndani yake giligili ya silomi inazunguka na [[mfumo wa mzunguko wa damu|mfumo duni wa mzunguko wa damu]] wenye mtiririko kamili. Nyungunyungu wana [[mfumo wa neva]] wa kati ambao una [[ganglia]] mbili juu ya [[mdomo]]. Nyungunyungu ni [[huntha|mahuntha]] na hubeba [[ogani]] zote za kiume na za kike. Hawana mifupa, lakini hudumisha muundo wa mwili kwa njia ya vyumba vya silomi vylivyojaa na giligili na ambavyo hufanya kazi ya [[kiunzi]] cha [[mtuamomaji]].
==Familia zinatokea Afrika==
* Acanthodrilidae
* Almidae
* Enchytraeidae
* Eudrilidae
* Kynotidae
* Microchaetidae
* Ocnerodrilidae
* Octochaetidae
[[Jamii:Anelidi]]
[[Jamii:Majina ya Annelida kwa Kiswahili]]
|