Nyungunyungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza sanduku la uainishaji na masahihisho
dNo edit summary
Mstari 36:
*[[Tumakidae]]
}}
'''Nyungunyungu''' ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wenye [[umbo]] la neli wa [[oda]] [[Megadrilacea]] katika [[faila]] [[Annelida]]. Kwa kawaida huishi katika udongo akijilisha katika viumbe mfu na hai. [[Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]] wa nyungunyungu unanyumbua kupitia urefu wa mwili wake. Na wanaendesha upumuaji kupitia ngozi yake. Mfumo wa kupeleka viowevu ni maradufu na una uvungu wa mwili ([[silomi]]) ambao ndani yake giligili ya silomi inazunguka na [[mfumo wa mzunguko wa damu|mfumo duni wa mzunguko wa damu]] wenye mtiririko kamili. Nyungunyungu wana [[mfumo wa neva]] wa kati ambao una [[ganglia]] mbili juu ya [[mdomo]]. Nyungunyungu ni [[huntha|mahuntha]] na hubeba [[ogani]] zote za kiume na za kike. Hawana mifupa, lakini hudumisha muundo wa mwili kwa njia ya vyumba vya silomi vylivyojaa na giligili na ambavyo hufanya kazi ya [[kiunzi]] cha [[mtuamomaji]].
 
==Familia zinatokea Afrika==