Mpopi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 54 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131584 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 14:
}}
'''Mpopi''' ''(kutoka [[Kiing.]] "poppy"; jina la kitaalamu: Papaver somniferum)'' ni mmea
Mbegu zake hutumiwa kwa kutoa mafuta pia kama chakula ukichanganywa ndani ya keki na mikate.
Kemikali zinazosababisha matumizi ya afyuni ziko hasa katika utomvi wa mpopi lakini kwa kiasi kidogo pia kwenye majani na mbegu wake. Afyuni hutengenezwa kwa kukata tumba za ua la mpopi; utomvi mweupe unatoka nje na kuganda hewani kuwa masi kama mpira. Masi hii ni afyuni bichi.
|