Virusi vya kompyuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Virusi zavya Kompyuta''' ni programu haramu yenye uwezo wa kujisambaakujisambaza ndani ya kompyuta na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya kazi mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. Virusi zinasambaavinasambaa kwa njia ya [[intaneti]] lakini pia kwa njia ya [[sidii]] au diski yoyote ya kubebea data kati ya kompyuta. Virusi vinaweza kuharibu mafaili na kupunguza uwezo wana kasi wy ufanyaji kazi wa kompyuta yako.
 
== Historia ==
Programu za virusi zilianzishwa tangu vyanzomwanzo vyawa kompyuta vyenyewe. Wanahisabati maarufu kama [[John von Neumann]] walikadiria nadharia ya programu zenye uwezo wa kujiendeleza na hata kujisambaakujisambaza peke zaoyao tangitangu miaka ya 1950. Tangu kupatikana kwa kompyuta ndogo za nyumbani, imeonekana ya kwamba programu za aina hii zinaweza kuleta hasara mbalimbali. Mara nyingi programu (c)Brain hutajwa kama virusikirusi yacha kwanza iliyosambaakilichosambaa kwenye kompyuta ndogo tangu mwaka 1986. Usambazaji wake ulikuwa kosa la watungaji wake waliotaka kukinga diski za programu halali waliyouza dhidi ya kopi haramu; waliandika namba ya simu yao ndani ya virusvirusi.
 
Tangu kupatikana kwa intaneti kuna watu maelfu ambao wametunga programu za virusi kwa kusudi mbalimbali; mara nyingi ni vijana wanaotaka kujaribu uwezo wao wa kuandika programu za aina hii. Wengine wanakusudia mzaha tu wakitaka kuona mafanikio yao kwenye kompyuta za dunia yote. Kuna wengine wenye hasira dhidi ya kampuni kubwa kama [[Microsoft]], dhidi ya benki, dhidi ya serikali au dhidi ya binadamu kwa jumla. Hao ni hatari zaidi wakijitahidi kusababisha hasara kubwa. Wengine hufuata kusudi za kisiasa wakilenga kwa kompyuta za lugha au nchi fulani hasa. Virusi nyingivingi zinavina malengo ya kijinai kwa sababu watungaji wao wanajaribu kupata faida ya kifedha kwa njia ya utapeli wakijaribu kuiba maneno ya siri kutoka kompyuta ya watu yanayomruhusu mtumiaji kuwasiliana na benki na kutuma fedha kwa akaunti yninginenyingine.
 
== Hatari za kutumia makompyutakompyuta mengi-menginyingi ==
Mtandao wa intaneti unaruhusu mamilioni ya watumiaji wa kompyuta duniani kuungana pamoja kibiashara na hata kwa kujifurahisha. Watu wengi tofauti hutumia intaneti. Yeyote anayetumia Intaneti anaweza kupata habari nyingi kuhusu mada tofauti, tena kwa lugha tofauti, yaani, katika kipindi kidogo sana.