Gesi adimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 3:
Elementi hizi zote zapatikana kama [[gesi]] kwa hali sanifu; hazina rangi wala harufu; haziwaki.
 
ZapatikanaZinapatikana katika hali ya [[atomu]] badalapekee, yasi kama [[molekyuli]]. Hazimenyuki yaani haziungani na atomu yingine kuwa molekyuli. Sababu ya kutomenyuka ni tabia ya [[mzingo elektroni]] wa nje kujaa kabisa; hapa mzingo elektroni wa nje huwa na idadi ya elektroni 8inayowezekana tofauti na kwaelementi nyingi ambako mzingo elektroni wa nje ina idadi ya elektroni ambayo ni chini ya idadi ya nafasi zake. Kwa hiyo hakuna haja kutafuta hali thabiti zaidi; gesi hizi zimeshafikia hali thabibiti kila atomi peke yake. Hivyo hakuna [[kampaundi]] za gesi hizi.
 
Gesi hizi zote ziko hewani lakini kwa kiasi kidogo tu. Radoni pekee yake ni hatari ya binadamu lakini si kwa sababu ya tabia zake za kikemia bali na tabia yake ya kifizikia kwa sababu radi ni elementi mnururishi.