Heli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 29:
 
==Upatikanaji==
Ulimwenguni kote heli ni elementi inayopatikana kwa wingi, Kutokana na nadharia ya [[mlipuko mkuu]] unakadiriwa kuwa na asilimia 25 ya masi yote ya ulimwengu.
 
Ndani ya [[Jua]] letu heli inaundwa kwa wingi ilhali hidrojeni huunganika kinyuklia kuwa heli na machakato huu unatokea katika nyota nyingi.
Mstari 37:
Hutokea pia katika miamba ya [[ganda la dunia]] katika [[mbunguo nururifu]] wa [[urani]] katika ardhi. Heli inayotokea hapa inapanda juu polepole na kuingia katika angahewa. Pale ambako kuna maganda ya mwamba usiopitika na gesi, heli inakusanyika, kwa kawaida pamoja na [[gesi asilia]] nyingine.
 
Hivyo heli inatolewa pale inapopatikana ndani ya gesi ya asilia wakati wa kutoa gesi hii. Kiwango cha heli ndani ya gesi asilia ni kuanzia [[ppm]] chahce hadi kufikia asilimia 7-10.
 
 
 
== Matumizi ==