Heli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 29:
 
==Upatikanaji==
[[Ulimwengu|Ulimwenguni]] kote heli ni elementi inayopatikana kwa wingi, Kutokana na nadharia ya [[mlipuko mkuu]] unakadiriwa kuwa na asilimia 25 ya masi yote ya ulimwengu.
 
Ndani ya [[Jua]] letu heli inaundwa kwa wingi ilhali hidrojeni huunganika kinyuklia kuwa heli na machakato huu unatokea katika nyota nyingi.