Heli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 33:
Ndani ya [[Jua]] letu heli inaundwa kwa wingi ilhali hidrojeni huunganika kinyuklia kuwa heli na machakato huu unatokea katika nyota nyingi.
 
Hapa [[duniani]] petu ni elementi haba. Katika angahewa ya dunia heli ina kiwango cha asilimia 0.00052 % au 5.2 [[ppm]]. Heli ni gesi nyepesi kuliko [[oksijeni]] na [[nitrojeni]] ya [[hewa]] na hivyo inapanda juu ndani ya angahewa bana kupotea muda wote kuelekakuelekea angani.
 
Hutokea pia katika miamba ya [[ganda la dunia]] katika [[mbunguo nururifu]] wa [[urani]] katika ardhi. Heli inayotokea hapa inapanda juu polepole na kuingia katika angahewa. Pale ambako kuna maganda ya mwamba usiopitika na gesi, heli inakusanyika, kwa kawaida pamoja na [[gesi asilia]] nyingine.