Programufidia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{jaribio}} ''Programufidia'' (kwa Kiingereza ransomware) ni aina ya programu haramu ambayo inakuzuia kutumia kompyuta yako hadi pale utakapolipa fidia kwa...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Mashambulizi ya programufidia mara nyingi hufanyika kwa kutumia [[proramu ya Trojan]] ambayo inajifanya kuwa kama faili halali ambalo linamhadaa mtumiaji kompyuta kupakua au kufungua linapokuja kama kiambatanisho cha barua pepe. Hata hivyo, mfano mmoja wa teknolojia ya juu kabisa ya utapeli huu, [["WannaCry worm"]], ilisafiri moja kwa moja kati ya kompyuta na kompyuta bila kuhitaji mtumiaji kufanya chochote.
 
Kuanzia mwaka wa 2012 matumizi ya programu hii ya fidia imeongezeka kimataifa.<ref>http://news.techworld.com/security/3343528/ransom-trojans-spreading-beyond-russian-heartland/</ref> Kwa mfano, [[Shirika la Upelelezo la Marekani|Shirika la Upelelezi la Marekani]] (FBI) linasema kuwa Programufidia aina ya CryptoWall ilivuna zaidi ya dola za Kimarekani milioni 18 hadi Juni 2015 kutokana na fidia za waathiriwa.<ref>https://arstechnica.com/security/2015/06/fbi-says-crypto-ransomware-has-raked-in-18-million-for-cybercriminals/</ref>